• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Ukerewe District Council
Ukerewe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
        • Biashara
      • Mipango na Takwimu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
        • Ustawi wa Jamii
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ufugaji Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Uvuvi
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
    • Maji
    • Uvuvi
    • Kilimo na Umwagiliaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Ongoing Projects
    • Miradi Iliyo kamilika
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Sheria Ndogondogo za Halmashauri
    • Fomu za Maombi
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Picha
    • Hotuba za Viongozi
    • Taarifa kwa Umma
    • Video

DKT. GWAJIMA FUATENI MAADILI YA SEKTA YA AFYA

Posted on: January 13th, 2021

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia , Wazee na Watoto Mhe.Dkt. Dorothy Gwajima Leo amefanya ziara ya kikazi Wilayani Ukerewe. Lengo lilikiwa kukagua hospitali ya Nansio iliyopandishwa hadhi na kuwa Hospitali na Mkoa ya Nansio. Ikiwa ni ufuatiliaji wa Ahadi za Serikali na na Chama zilizotolewa kipindi cha nyuma. Ahadi hizo ikiwa ni pamoja na Hospitali ya Nansio ipande na kuwa Hospitali ya Mkoa na kifuatilia Maendeleo ya hospitali ya Bwisya ambayo imepandishwa hadhi na kuwa hospitali ya Wilaya. Zahanati ya Irugwa ambayo inatakiwa ipande kuwa kituo cha afya, gari la wagonjwa, vifaa pamoja na utoaji huduma. 

Gwajima ameelekeza kabla ya tarehe 31 Januari timu ya wataamu wa mkoa pamoja na wizara kufika Nansio na kukamilisha zoezi la upembuzi wa kila kinachohitajika katika kuifanya Hospitali ya Nansio kuwa ya Mkoa. Pia taratibu za kuifanya zahanati ya Irugwa kuwa Kutoa cha Afya zianze mara moja na ameahidi kufanyia kazi suala la upatikanaji wa gari la wagonjwa.

“kwa hali yakimazingira Haiwezekani ukaacha kufikiria ukerewe au mafia na kuanza kufikiria Dar es salaam na hospitali za mjini kwani uhitaji uliopo kisiwani hapa ni mkubwa zaidi ukilinganisha na mjini” alisema Gwajima.


Katika hatua nyingine Dkt Gwajima amekemea tabia ya watoa huduma upande wa dawa ambao hawatoi dawa kwa kisingizio kuwa dawa hakuna wakati dawa zipo. Alibainisha haya baada ya baadhi ya wagonjwa kusema kuwa hawakupatiwa paracetamol na alipokwenda mahali pakuhifadhia dawa alizikuta dawa hizo. Amemtaka Mkurugenzi Mtendaji kuwachukulia hatua watumishi Sita ambao walikua na tuhuma za ubadhilifu wa dawa baada ya kulipa Milioni 100 kama fidia ambayo Mahakama iliamuru walipe. 


Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe Mhe Cornel Magembe amewasihi watumishi wa sekta ya afya kuendelea kufuata maadili ya sekta hiyo na kuhudumia vema wananchi ili kuwa na taifa lenye afya nzuri.


Mhe. Joseph Mkundi Mbunge wa Jimbo la Ukerewe ameomba Wizara kuangalia kwa ukaribu Wilaya ya Ukerewe kwani ni moja kati y Wilaya zenye visiwa vingi na Kuna changamoto za jiografia kutokana na kuzungukwa na maji.


Dkt. Gwajima ameahidi kushughulikia changamoto zinazokabili hospitali Ukerewe na Amewapongeza watumishi kwa kazi kubwa wanayofanya amewataka kuendelea kutimiza majukumu yao kwa kufuata taratibu, miongozo na kanuni na ueledi katika kuhudumia wagonjwa.


Matangazo

  • MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA 2021 BWENI NA KUTWA December 18, 2020
  • TANGAZO LA KAZI ZA MUDA April 10, 2020
  • TANGAZO LA USAILI NA ORODHA WALIOITWA USAILI October 13, 2020
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA December 08, 2020
  • Angalia Zaidi

Habari Mpya

  • SHULE 156 UKEREWE ZAPATIWA MAJIKO YA GESI KAMA MOTISHA

    February 24, 2021
  • FFS WAKABIDHI MADAWATI 126 UKEREWE

    February 22, 2021
  • VETA UKEREWE YAFIKIA 42%

    February 18, 2021
  • “WANANCHI WATARAJIE KUONA MAFANIKIO KWENYE BAJETI HII” Mhe Manumbu.

    February 11, 2021
  • Angalia Zaidi

Video

FURSA ZA UWEKEZAJI UKEREWE
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Jiwe linalocheza Wilayani Ukerewe
  • Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe

Tovuti Mashuhuri

  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Necta

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe. Haki zote zimehifadhiwa